Thursday, November 22, 2012

NGOMA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA TANGA

Msanii Moo D akiwa na mtangazaji wa Powerjams East Africa Radio, Sam Misago alipokuwa akifanya Interview.Msanii anatokea Tanga SIKILIZA ngoma yake hapo chini

1 comments:

Safi sana endeleeni kuuwakilisha mkoa wetu wa Tanga.

Post a Comment