Friday, December 7, 2012

PICHA YA SIKU

Aslay,Chege na Meneja wa TMK Wanaume Family Said Fella.Said Fella alinitumia message jana na kusema kuwa Aslay ambaye anawania Tuzo za KORA mwaka huu ataachia wimbo wake mpya katika siku za hivi karibuni.Ngoma hiyo inaenda kwa jina la 'Wahenga' ambayo amemshirikisha Ally Nipishe wa THT, Video ya wimbo huo inaandaliwa na Lil 2 Lil na itatoka tarehe 25.

0 comments:

Post a Comment